Viongozi wa Zimbabwe waongezewa na Marekani muda wa vikwazo

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani imewaongezea muda wa vikwazo viongozi wa Zimbabwe kwa shutma ya kuwa wanadumaza mfumo wa demokrasia nchini humo.