Ethiopian Airlines yakataa kusitisha safari zake kwenda China

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kusitisha safari zake kwenda China, Ethiopian Airlines imekataa kufanya hivyo ikisema siyo suluhu ya kuzuia virusi vya corona kusambaa.