Jimbo la California latangaza hali ya dharura

Your browser doesn’t support HTML5

Jimbo la California laripoti mtu wa kwanza mwenye maambukizi ya kirusi cha corona kuanga dunia, wakati idadi ya vifo ikifikia 11 nchini Marekani.