Matokeo ya Tennis ATP 500 kati ya Garin na Mager

Your browser doesn’t support HTML5

Cristian Garin ameshinda taji la ATP 500 kwa kumbwaga Gianluca Mager seti mbili za 7-6, na 7-5 katika mashindano ya Rio Open.