Afrika Kusini na Msumbiji wajivunia mafanikio ya hifadhi zao

Your browser doesn’t support HTML5

Walinzi wa Afrika Kusini na Msumbiji waeleza ushirikiano wa kulinda hifadhi za wanyama pori ulivyopunguza matukio ya ujangili.