Shule nchini Kenya bado ziko matatani

Your browser doesn’t support HTML5

Walimu wanaofundisha katika mashule kaskazini mashariki ya Kenya bado wana wasiwasi juu ya usalama wao kuendelea kufundisha maeneo hayo.