Afya: Watafiti wagundua ugonjwa mwingine wenye dalili sawa na pumu

Your browser doesn’t support HTML5

Katika Makala ya afya hivi leo tunakuarifu kuhusu ugonjwa wa Pumu ama asthma kwa kawaida inaweza kudhibitiwa kwa kutumia kifaa chenye dawa ya kuvuta kwa kutumia pua au mdomo .