Mlipuko wa kirusi corona : Baadhi ya wanafunzi wa kigeni wakata tamaa

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wanafunzi wamepata msongo wa mawazo kutokana na maambukizo na vifo vinavyotokea katika eneo la Wuhan na wana wasiwasi mkubwa.