Abiria 10 zaidi katika meli ya kifahari wamekutwa na virusi

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa afya wa Japan wamesema maafisa wengine 10 kutoka meli ya kifahari wakutwa na maambukizo ya kirusi corona na wamewekwa katika karantini.