Zitto asema ahofia maisha yake

Your browser doesn’t support HTML5

Zitto Kabwe asema ana wasiwasi juu ya maisha yake baada ya kupokea vitisho vya kuuwawa kwa sababu ya kuiomba Benki ya Dunia kuahirisha msaada kwa Tanzania