Kirusi corona : Hofu ya kuyumba uchumi China

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wakabiliwa na hali ngumu China baada ya maambukizo ya kirusi corona kuendelea kuuwa watu zaidi huku harakati za uzalishaji zikisimama na kusababisha hofu ya kuanguka uchumi