Wakazi wa Iowa wapiga kura kumtafuta mgombea urais kupitia wademokrate

Your browser doesn’t support HTML5

Mchakato wa utaratibu kura za awali kumchagua mwakilishi wa chama cha democrat atakayechauana na rais Donald Trump katika uchaguzi mkuu mwaka huu ulimalizika salama huku kukiwa na maoni tofauti tofauti katika jimbo la Iowa hasa kuhusiana na kucheleweshwa kwa matokeo.