Wakenya waomboleza kifo cha Daniel Arap Moi

Your browser doesn’t support HTML5

Taifa la Kenya linaomboleza kifo cha aliekuwa rais wa pili wa nchi hiyo Daniel arap Moi aliefariki alfajiri ya leo Jumanne wakati akiwa kwenye hospitali ya Nairobi ambako alikuwa amelazwa kwa muda.