- Viongozi hao wameahidi kurejesha amani, ujirani mwema na kuaminiana kati yao.
Mkutano wa Angola : Uganda, Rwanda zafikia maelewano
Your browser doesn’t support HTML5
- Pande zote mbili zaahidi kuwaachia huru wafungwa wanaowashikilia na kutowaunga mkono waasi wanaonuia kuleta uhasama baina yao