Suala la ulinzi katika maeneo ya mikusanyiko lazua mjadala baada ya watu hao kupoteza maisha kwenye kongamano la mahubiri ya Mchungaji Boniface Mwamposa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.
Rais Magufuli atoa rambirambi kwa familia za wahanga
Your browser doesn’t support HTML5
Miili ya waliokufa katika vurugu ya kugombania mafuta ya upako katika kongamano la kidini yaangwa nchini Tanzania