Spika Ndugai adai Mbunge wa Upinzani Zitto Kabwe ameisaliti Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Job Ndugai adai kuwa Mbunge wa Upinzani Zitto Kabwe wa chama cha ACT atahojiwa kwa kuisaliti nchi yake