Maafisa wa Kenya Wanasema wameanza vita kamili dhidi ya kundi la Kisomali la Al-Shabab ndani ya nchi hiyo kufuatia shambulio la usiku wa Jumatatu katika shule ya msingi, katika Kaunti ya kaskazini mashariki ya Garissa.
Watu watatu wauliwa katika shambulizi la al-Shabab Garissa Kenya
Your browser doesn’t support HTML5