Video DRC : Watu 12 wauawa kijiji cha Kamango 16 Desemba, 2019 Your browser doesn’t support HTML5 Mauaji haya yametokea katika kijiji cha Kamango, Beni, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)