Watu 5 wauwawa katika Shambulizi la wanamgambo wa kiislamu Somalia
Your browser doesn’t support HTML5
Raia wanne na mwanajeshi mmoja wameuwawa katika shambulizi la wanamgambo wa kiislamu nchini Somalia walioshambulia kituo cha jeshi kaskazini mwa mji mkuu Mogadishu , vyanzo vya kijeshi na walioshuhudia wamesema hivi leo.