Wakenya waadhimisha siku ya watu wanaoishi na ulemavu

Your browser doesn’t support HTML5

Ulimwenguni umeadhimisha siku ya watu wanaoishi na ulemavu lengo kuu ikiwa ni kuhamasisha umma kuhusu walemavu na namna ya kuwahusisha katika kila jambo.