Maandamano yaendelea mashariki ya DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Kivu Kaskazini waendelea na maandamano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wakishinikiza majeshi ya Umoja wa Mataifa, Monusco kuondoka nchini