Ugonjwa wa ukoma nchini kenya

Your browser doesn’t support HTML5

‘UKOMA’ miongoni mwa magonjwa yaliosahaulika unasababishwa na bakteria. Unaambukiza kupitiwa hewa au maji maji ya puani na mdomoni.Shirika la afya duniani, WHO linaonesha kuwa zaidi ya watu laki 2 walipatikana wameambukizwa ugonjwa huo mwaka 2018, katika mataifa 159 yaliochunguzwa.