Muhtasari wa Habari Mbalimbali za Dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Iran imekataa amri ya mahakama ya Marekani inayoitaka kulipa faini ya dola za Marekani milioni 180 kwa mwandishi wa gazeti la Washington Post
Wafuasi wa makundi ya Hizbullah na Ammal wamewashambulia waandamanaji wanaopinga serikali ya Lebanon