Zaidi ya watu 50 wamekufa kutokana na maporomoko ya matope

Your browser doesn’t support HTML5

Mvua kubwa ilionyesha wikiendi nchini Kenya karibu na mpaka wa Uganda zimeleta maporomoko ya matope ambayo yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 50