Eliud Wabukhala asema Marekani inasaidia katika vita dhidi ya ufisadi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Katika mahojiano na Kennedy Wandera wa VOA mjini Nairobi mwenyekiti wa tume ya kupambana na ufisadi Kenya , amesema hatua ya Marekani inasaidia sana katika vita dhidi ya ufisadi.