Baraza la wawakilisi inaendelea na mahojiano ya uchunguzi dhidi ya rais trump

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wanaohojiwa hii leo ni watu walio karibu na Trump, waliosikiliza mawasiliano yake ya simu na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensiky, mwezi Julai.