China imeapa haitalegeza msako wake dhidi ya magaidi

Your browser doesn’t support HTML5

China imeapa haitalegeza msako wake dhidi ya magaidi, baada ya kuvuja kwa nyaraka kadhaa za serikali zinazohusu kuzuiliwa Waislamu magharibi mwa Xinjiang.