Misri , Ethiopia na Sudan kudajili mzozo wa bwawa la Grand Ethiopia Renaissance

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wa mambo ya nje kutoka Misri , Ethiopia na Sudan waliweka nia ya dhati ya kufikia muafaka ifikapo Januari mwaka ujao juu ya mzozo kwa ujenzi wa bwawa linalojulikana kama grand Ethiopian Renaissance Dam