wanawake washikilia nyadhifa za juu soko la hisa la Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Utafiti uliofanywa dhidi ya makampuni 60 yanayoorodheshwa katika soko la hisa la Nairobi umeonyesha kuwa idadi ya wanawake wanaoshikilia nyadhifa za juu imeongezeka.