Wahamiaji wa kiafrika wafanya vyema kwenye uchaguzi Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wahamiaji na wakimbizi kutoka nchi za Afrika wanaoishi hapa Marekani wanaendelea kuweka historia na kuleta mabadiliko katika siasa za marekani kwa kushinda katika uchaguzi wa serikali ya majimbo mitaa na kitaifa.