Mwanamazingira aunga mkuno mapambano ya hali ya hewa kwa kusimama masaa 12 baharini

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanaharakati wa mazingira asimama masaa 12 baharini kuunga mkono vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira duniani hususan habarini.