Duniani Leo November 12, 2019
Your browser doesn’t support HTML5
Wizara ya afya ya DRC imesema itaanza kutoa chanjo mpya ya kuzuia Ebola kwa wananchi huko Goma Wazimbabwe wanaanza kutumia noti mpya na serikali ina wanamatumaini kwamba itamaliza kabisa mzozo wa upungufu wa fedha.