Duniani Leo November 4, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Shule kadhaa zimefungwa kutokana na mafuriko makubwa yaliyokumba Somalia na kusababisha maelfu ya watu kukoseshwa makazi. Na mawaziri wa afya wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC wanakutana jijini Dar es salaam kwa ajili ya mkutano wa sekta ya Afya na masuala ya UKIMWI.