Hofu ya mapenzi wa jinsia moja yaingia Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
Jaribio la waziri mmoja nchini Uganda kupitisha tena sheria yam waka 2014 ya kuruhusu adhabu ya kifo kwa watu waliokutwa na hatia ya kufanya mapenzi ya jinsia moja imechochea shutuma kati katika taifa hilo la Afrika mashariki kutoka kwa jamii ya walio wachache