Katumbi kuunda chama kipya cha upinzani DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Aliekua gavana wa Katanga Moise Katumbi Chapwe ametangaza kuunda chama chake cha upinzania kitakacho wataka viongozi kufanya mabadiliko katika uongozi kwa manufaa ya raia