Duniani Leo November 1, 2019
Your browser doesn’t support HTML5
Msemaji wa waziri mkuu wa amesema takriban watu 78 wameuwawa katika maandamano wiki iliyopita dhidi ya ukandamizaji wa mwanaharakati maarufu, Jawar Mohammed
Na gavana wa zamani wa Katanga Moise Katumbi Chapwe ametangaza kuunda chama chake cha upinzania chenye nia ya kuboresha maisha ya wananchi.