Zulia Jekundu Episode 250

Your browser doesn’t support HTML5

Majina ya watakaoshiriki kwenye filamu ya mwendelezo ya Coming to America yatajwa. Na naigizaji wa kike wa filamu wenye asili ya kiafrika kike wa filamu walalamikia Hollywood kwa kutokuwa na wanamitindo wa nywele wenye uwezo wa kutengeneza nywele zao.