Mwanamke mmoja kati ya watatu hunyanyaswa kijinsia

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la umoja wa mataifa kuhusu maswala ya wanawake linasema kuwa Mwanamke mmoja kati ya watatu amedhulumiwa au kunyanyaswa Kingono. Takriban wasichana milioni 120 duniani wamelazimishwa kufanya mapenzi wengine wakiolewa kabla ya