Nchi za kiarabu zalaumiwa kwa unyanyasaji wa haki za kibinadam

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa miaka kadha sasa mamia ya raia wa Uganda wanasafiri hadi mashariki ya kati kutafuta ajira kutokana na kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira katika nchi za Afrika mashariki.