Mataifa ya Afrika yatakiwa kutoa haki kwa vyombo vya habari

Your browser doesn’t support HTML5

RAIS wa Mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu Tanzania Silivian Ore ametaka mataifa ya Afrika kutoa nafasi kwa vyombo vya habari kufanya kazi zao kwa uhuru.