Nancy Pelosi kuongoza kura ya kuunga mkono uchunguzi
Your browser doesn’t support HTML5
Spika wa baraza la wawakilishi la bunge la Marekani Nancy Pelosi ametangaza atawasilisha hoja kesho kuwataka wabunge kupiga kura ikiwa wanaunga mkono uchunguzi unaoendelea wa kutaka kumfungulia mashtaka rais Donald Trump