DRC kufanya oparesheni ya kukabiliana na makundi ya waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la Congo DRC litaanza operesheni kali dhidi ya makundi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo na yale yanayoshambulia kwa kuvuka mpaka.