Chama tawala cha Botswana chashinda uchaguzi mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Chama tawala cha Botswana cha BDP kimepata ushindi katika uchaguzi mkuu kwa kupata viti 29, ikiwa sawa na asili mia 51 ya viti vyote vya bunge.