Duniani Leo October 24, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa Botswana unaelezwa kutoa changamoto kwa chama tawala kilichokuwepo madarakani tangu nchi hiyo kupata uhuru. Na wataalamu na watendaji wa taasisi za elimu ya juu za nchi za Jumuiya ya Afrika mashariki wamekutana na wadau wa sekta Binafsi Uganda.