Trump awataka Warepublican kuchukua msimamo mkali

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Mreakani Donald Trump ametoa wito kwa warepublicans kuchukua msimamo mkali dhidi ya hatua ya kutaka kumuondoa madarakani.