Duniani Leo October 22, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Canada Justine Trudo ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo huku chama chake cha Liberal kikijinyakulia viti vingi. Na Rais Donald Trump ametoa wito kwa warepublicans kuchukua msimamo mkali dhidi ya hatua ya kutaka kumuondoa madarakani.