Kenya yasheherekea siku ya Mashujaa

Your browser doesn’t support HTML5

Sherehe za mashujaa day mwishoni mwa wiki nchini kenya zilipokelewa kwa maoni mchanganyiko miongoni mwa wakazi wa Mombasa wakati mji huo unakabiliwa na changamoto kadha za kiuchumi.