Mkutano wa AALCO wafanyika Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi wanachama wa Shirika la Mashauriano ya Sheria za Kimataifa kwa Nchi za Afrika na Asia (AALCO) zinakutana nchini Tanzania kujadili masuala yahusuyo sheria na nama zinavyoathiri kanda hizo zenye idadi kubwa ya nchi zinazoendelea.