Tetemeko la ardhi kubwa lapiga kusini mwa Ufilipino

Your browser doesn’t support HTML5

Tetemeko hilo lililokuwa na nguvu ya 6.3 katika vipimo vya richter lilitikisa kusini mwa nchi ya ufilipino.