Serikali ya DRC iko tayari kuzungumza na makundi ya waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali iko tayari kuzungumza na makundi ya waasi yaliyoko ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kama vile Mai Mai ili kufanya kazi pamoja katika ujenzi wa taifa